- Advertisement -
Ad image

Choose Your Plan

Get unlimited access to everything

Monthly Plan

Plans starting at less than $9/month. Cancel anytime.

$9/month
Unlimited access to contentPaper magazine deliveredExclusive discountPremium supportCancel any time
[swpm_payment_button id=1971 button_text="Buy Monthly Plan"]

Yearly Plan

Billed yearly at $54, Save 40% for this plan. Cancel anytime.

$54/year
Unlimited access to contentPaper magazine deliveredExclusive discountPremium supportCancel any time
[swpm_payment_button id=1971 button_text="Subscribe Now"]

Follow Us

More Latest News

Yanga yatakata Kigali, Simba yaikomalia Power Dynamos

NA MWANDISHI WETU Klabu ya soka ya Yanga ya jijini Dar es Salaam imetakata mjini Kigali, Rwanda baada ya kutoka

Admin Admin September 16, 2023

Dk Mpango ahimiza viongozi wa dini kunusuru familia

NA MWANDISHI WETU, DODOMA MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amehimiza viongozi wa dini watumie mafundisho yao kuzinusuru familia na

Editor Editor May 7, 2023

Ugumu utekelezaji wa majukumu wasababisha Tume ya Maboresho Bakwata kujiuzulu

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM UONGOZI wa Tume ya Maboresho Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) makao makuu, umetangaza

Editor Editor May 1, 2023

WMA WATOA ELIMU YA VIPIMO DIMANI

NA MWANDISHI WETU,ZANZIBAR

Editor Editor January 14, 2025

KAMATI YA BUNGE NISHATI NA MADINI KUJIFUNZA UONGEZAJI THAMANI MADINI ZAMBIA

NA MWANDISHI MAALUMU, ZAMBIA BAADHI ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, wakiongozwa na Mbunge

Editor Editor January 13, 2025

RAIS SAMIA ASHIRIKI SHEREHE ZA MIAKA 61 MAPINDUZI YA ZANZIBAR

NA MWANDISHI MAALUMU,ZANZIBAR RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameshiriki maadhimisho ya kilele cha Miaka

Editor Editor January 12, 2025

ASKOFU MALASUSA AIMWAGIA SIFA OFISI YA MSAJILI WA HAZINA

NA MWANDISHI WETU,DAR ES SALAAM ASKOFU Dk.Alex Malasusa, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), ameimwagia sifa Ofisi

Editor Editor January 11, 2025

AZAKI ZAWASILISHA MAONI YA ZIADA KUHAKIKI RASIMU YA DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA 2050

NA JANETH JOVIN, DAR ES SALAAM ASASI za Kiraia (AZAKi) zimewasilisha maoni ya ziada ya kuhakiki rasimu ya Dira Ya

Editor Editor January 11, 2025

Editor's Pick

- Advertisement -
Ad image

  TASAC YATOA TAARIFA KUZAMA KWA  MELI YA UVUVI “MV LEGACY”           SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limetoa taarifa kwa Umma kuhusu tukio lakuzama kwa boti ya uvuvi “MV LEGACY” yenye namba ya usajili DS/L1175 inayomilikiwana Yakoub Juma Khamis na yenye urefu wa mita 11 na upana wa mita 1.7 iliyopatiwa Cheti cha Usajili na Ubora na TASAC kufanya shughuli za uvuvi mnamo tarehe06/03/2024.Mnamo tarehe 10/03/2024 majira ya 10:01 alasiri, kituo chetu cha kuratibu shughuli zautafutaji na uokoaji (MRCC) kilipokea taarifa ya kuzama kwa boti ya uvuvi “MV LEGACY”iliyotokea majira ya saa 9:50 jioni karibu na fukwe ya Coco Beach, Msasani, Wilaya yaKinondoni mjini Dar es salaam ambayo ilikuwa na jumla ya Mabaharia tisa (09)ikijumuisha Wavuvi sita (06), Mhandisi Mitambo mmoja (01) na Manahodha wawili (02).Kituo cha MRCC kilifanya jukumu lake la kisheria la kuratibu shughuli ya uokoaji kwakutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi (Wanamaji) na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na kufanyajuhudi za kufika eneo la tukio na kufanya zoezi la uokoaji. Watu wote tisa wamefanikiwakuokolewa na wanaendelea vizuri kiafya bila ya kuwa na changamoto yoyote.Boti hiyo ambayo ilikuwa katika majaribio ya kiufundi baada ya matengenezo ya mifumoya uvuaji samaki kwa kukokota (Trawling), ilianza majaribio majira ya saa 3:00 asubuhiikitokea maeneo ya Tandavamba, Kivukoni na kufanya majaribio ya kuvua samakiwakizunguka katika maeneo yenye maji mafupi karibu na eneo la daraja jipya laTanzanite (Upanga) hadi Coco Beach (Oysterbay). Ilipofika majira ya saa 9:50 Alasiriwakati nahodha anabadilisha uelekeo wa boti kuelekea upande wa kulia ndipo kambamoja ya upande wa kushoto ikakatika na kusababisha uzito kelemea kwenye kamba yaupande wa kulia na ndipo uzito ulipohama ghafla na kuilazimisha boti kunywa majiupande wa kulia kisha kuzama.TASAC inaendelea kutoa rai kwa wamiliki na waendeshaji wa vyombo majini kuzingatiaSheria na Kanuni za udhibiti usafiri majini na kuhakikisha muda wote wanavalia majaketiokozi ili kujiepusha na maafa yanayoweza kusababishwa na tukio la ajali.Imetolewa na;Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu,Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC).

This will close in 20 seconds