NA MWANDISHI WETU,ARUSHA



















RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan akifungua Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma kwa mwaka 2024, leo Agosti 28, 2024 katika Kituo cha Mikutano cha Kimaitaifa cha Arusha (AICC), jijini Arusha.