Habari Mpya

SHEIKH PONDA AJIUNGA NA ACT WAZALENDO,APEWA KADI YA HESHIMA YA MAALIM SEIF

NA JANETH JOVIN, DAR ES SALAAM KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania ,Sheikh Ponda Issa Ponda amejiunga rasmi,

Editor Editor June 5, 2025

DK. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM

NA MWANDISHI WETU, DODOMA MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia

Editor Editor May 26, 2025

WAKILI PETER MADELEKA AJIUNGA ACT- WAZALENDO

NA JANETH JOVIN, DAR ES SALAAM WAKILI wa Kujitegemea wa Mahakama Kuu Peter Madelekaamejiunga na Chama cha ACT Wazalendo akitokea

Editor Editor May 21, 2025

DOROTHY SEMU ATANGAZA KUWANIA URAIS 2025

NA MWANDISHI WETU,DAR ES SALAAM KIONGOZI wa Chama cha ACT –Wazalendo, Dorothy Semu ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais

Editor Editor January 16, 2025

NCHIMBI AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI  KAGERA KWA  MKUTANO MKUBWA MULEBA

NA MWANDISHI WETU, KAGERA MAELFU ya Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Wananchi wa Muleba  wamejitokeza na kukusanyika kwenye

Editor Editor August 11, 2024

CHADEMA KWA MOTO

NA MWANDISHI WETU, IRINGA VITA kubwa ya madaraka kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe imeibuka ndani ya  Chama Cha

Editor Editor May 3, 2024

Tufuate Mitandao Ya Kijamii

Chaguo La Mhariri

JKCI Dar Group na Cardiostart International wafanya kambi maalumu                            Na Mwandishi Maalumu ,Dar es Salaam   Kwa mara ya kwanza Hospitali ya JKCI Dar Group kwa kushirikiana na wataalamu wa afya kutoka Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani wamefanya kambi maalumu ya upimaji wa vipimo vya moyo kwa wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam.Upimaji huo umefanyika kwa siku mbili ambapo wananchi waliojitokeza wamepata fursa ya kupima kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiography – ECHO) pamoja na kipimo cha kuangalia mfumo wa umeme wa moyo (Electrocardiography – ECG) bila malipo.Akizungumza na mwandishi wa habari hii daktari wa Hospitali ya JKCI Dar Group Marsia Tillya alisema uhitaji wa wananchi kupata huduma ya vipimo vya moyo ni mkubwa kutokana na idadi kubwa ya wananchi waliojitokeza kupima kufanya vipimo hivyo.Dkt. Marsia alisema watu waliojitokeza kufanya vipimo hivyo wapo ambao walishawahi kupima na kukutwa na magonjwa ya moyo lakini kutokana hali zao za uchumi hawakupata nafasi ya kupima tena hadi nafasi hiyo ilipojitokeza.“Watu tuliowaona wapo ambao walishapima na kukutwa na shida za moyo lakini pia wapo watu ambao hawakuwahi kupima moyo lakini kupitia kambi hii wamepata fursa ya kupima na kufahamu hali zao”, alisema Dkt. MarsiaKwa upande wake mtaalamu wa afya kutoka Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani Sarah King alisema wataalamu wa afya wa Cardiostart mbali na kutoa huduma za upasuaji wa moyo pia walijipanga kufanya vipimo vya moyo kwa wananchi bila malipo kuwapa nafasi ya kuchunguza mioyo yao.“Tumepanga kufanya vipimo vya moyo kwa watu wote watakaojitokeza hivyo wasisite kufika katika Hospitali ya Dar Group kwani tupo kwaajili yao”, alisema Sarah.Sarah alisema sambamba na kuwafanyia wananchi vipimo vya moyo pia wanapata muda wa kuzungumza na wananchi wanaofika katika kambi hiyo kufahamu masuala muhimu ya afya zao na kuwajengea tabia za kupima afya zao mara kwa mara kabla ya kuumwa.Naye mwananchi aliyepatiwa huduma katika kambi hiyo Susan Paul alisema amejitokeza kupima moyo wake kutokana na hapo awali alipata maumivu makali ya moyo na kufika katika moja ya hospitali ambapo alipatiwa huduma na kushauriwa kupima moyo wake.Susan alisema baada ya kupata tangazo la upimaji wa vipimo vya moyo katika Hospitali ya Dar Group aliona hiyo ndio fursa kwake kufika na kupima moyo wake ili aweze kujua afya yake.“Nashukuru sana kwa hii nafasi niliyoipata kuchunguza moyo wangu mapema kwani kunanipa nafasi ya kujua kama lile tatizo nililokuwa nalo awali linasababishwa na magonjwa ya moyo na kama sio nitajilinda ili nisije kupata ugonjwa huu wa moyo”alisema Susan.

Habari Moto

Maarufu zaidi mwezi huu

Tetesi za usajili leo Alhamisi Machi 23, 2023

Usajili wa Lukaku wakosolewa Inter Milan MILAN, ITALIA WACHAMBUZI wa masuala ya michezo nchini Italia wamesema kwa katika usajili ambao ulifanywa na Inter wababe wa

Editor Editor March 23, 2023

This will close in 20 seconds