- Advertisement -
Ad image

Choose Your Plan

Get unlimited access to everything

Monthly Plan

Plans starting at less than $9/month. Cancel anytime.

$9/month
Unlimited access to contentPaper magazine deliveredExclusive discountPremium supportCancel any time
[swpm_payment_button id=1971 button_text="Buy Monthly Plan"]

Yearly Plan

Billed yearly at $54, Save 40% for this plan. Cancel anytime.

$54/year
Unlimited access to contentPaper magazine deliveredExclusive discountPremium supportCancel any time
[swpm_payment_button id=1971 button_text="Subscribe Now"]

Follow Us

More Latest News

Kampuni, Taasisi mkoani Dodoma sasa kupata huduma za kibenki kupitia NBC Connect

NA MWANDISHI WETU, DODOMA MAKAMPUNI pamoja na taasisi mbali mbali  ambazo ni wateja wa Benki ya Taifa ya Biashara ya

Editor Editor June 22, 2023

CRDB, Care International waingia makubaliano kuwainua wanawake Programu ya Imbeju

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM BENKI ya CRDB imesaini makubaliano ya kushirikiana na Shirika la Care International kuwawezesha wanawake

Editor Editor May 8, 2023

WMA YAHIMIZA USHIRIKIANO KUTOKA SEKTA BINAFSI

MAHAMUDU JAMAL NA PENDO MAGAMBO, WMA,DAR ES SALAAM OFISA Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla ametoa wito

Editor Editor September 11, 2024

JKCI yafanya upimaji wa moyo katika kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma

NA MWANDISHI WETU, ARUSHA TAASISI ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeendelea kusogeza huduma zake karibu na jamii kwa kufanya zoezi

Editor Editor August 25, 2025

BANDARI YA DAR YAFUNGA MWAKA KWA TANI MILIONI 27.7

NA MWANDISHI WETU,DAR ES SALAAM BANDARI ya Dar es Salaam imefunga mwaka wa fedha wa 2024/25 kwa kuhudumia tani milioni

Editor Editor August 25, 2025

MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA TEWW

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Agosti 25, 2025 ni mgeni rasmi katika kongamano la

Editor Editor August 25, 2025

SERIKALI YAUNGANA NA SEKTA BINAFSI KUKUZA SAYANSI NA UBUNIFU

NA MWANDISHI WETU, LINDI SERIKALI imeeleza kutambua na kuthamini mchango ya wadau wanaochagiza maendeleo ya elimu katika shule za sekondari

Editor Editor August 25, 2025

OFISI YA MSAJILI WA HAZINA YAKABIDHI TUZO KWA MASHIRIKA YA UMMA YALIYOFANYA VIZURI

NA MWANDISHI WETU, ARUSHA MASHIRIKA ya Umma yaliyofanya vizuri katika mwaka wa fedha 2023/24 yamekabidhiwa tuzo maalum na Ofisi ya

Editor Editor August 24, 2025

Editor's Pick

- Advertisement -
Ad image

  TASAC YATOA TAARIFA KUZAMA KWA  MELI YA UVUVI “MV LEGACY”           SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limetoa taarifa kwa Umma kuhusu tukio lakuzama kwa boti ya uvuvi “MV LEGACY” yenye namba ya usajili DS/L1175 inayomilikiwana Yakoub Juma Khamis na yenye urefu wa mita 11 na upana wa mita 1.7 iliyopatiwa Cheti cha Usajili na Ubora na TASAC kufanya shughuli za uvuvi mnamo tarehe06/03/2024.Mnamo tarehe 10/03/2024 majira ya 10:01 alasiri, kituo chetu cha kuratibu shughuli zautafutaji na uokoaji (MRCC) kilipokea taarifa ya kuzama kwa boti ya uvuvi “MV LEGACY”iliyotokea majira ya saa 9:50 jioni karibu na fukwe ya Coco Beach, Msasani, Wilaya yaKinondoni mjini Dar es salaam ambayo ilikuwa na jumla ya Mabaharia tisa (09)ikijumuisha Wavuvi sita (06), Mhandisi Mitambo mmoja (01) na Manahodha wawili (02).Kituo cha MRCC kilifanya jukumu lake la kisheria la kuratibu shughuli ya uokoaji kwakutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi (Wanamaji) na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na kufanyajuhudi za kufika eneo la tukio na kufanya zoezi la uokoaji. Watu wote tisa wamefanikiwakuokolewa na wanaendelea vizuri kiafya bila ya kuwa na changamoto yoyote.Boti hiyo ambayo ilikuwa katika majaribio ya kiufundi baada ya matengenezo ya mifumoya uvuaji samaki kwa kukokota (Trawling), ilianza majaribio majira ya saa 3:00 asubuhiikitokea maeneo ya Tandavamba, Kivukoni na kufanya majaribio ya kuvua samakiwakizunguka katika maeneo yenye maji mafupi karibu na eneo la daraja jipya laTanzanite (Upanga) hadi Coco Beach (Oysterbay). Ilipofika majira ya saa 9:50 Alasiriwakati nahodha anabadilisha uelekeo wa boti kuelekea upande wa kulia ndipo kambamoja ya upande wa kushoto ikakatika na kusababisha uzito kelemea kwenye kamba yaupande wa kulia na ndipo uzito ulipohama ghafla na kuilazimisha boti kunywa majiupande wa kulia kisha kuzama.TASAC inaendelea kutoa rai kwa wamiliki na waendeshaji wa vyombo majini kuzingatiaSheria na Kanuni za udhibiti usafiri majini na kuhakikisha muda wote wanavalia majaketiokozi ili kujiepusha na maafa yanayoweza kusababishwa na tukio la ajali.Imetolewa na;Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu,Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC).

This will close in 20 seconds