Siasa MATUKIO KATIKA PICHA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI DK.NCHIMBI AKISALIMIANA NA ASKOFU DK. BAGONZA Editor January 21, 2024 Updated 2024/01/21 at 9:14 PM Share SHARE Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.. Emmanuel John Nchimbi akisalimiana na kuzungumza jambo na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dk Benson Kalikawe Lwakalinda Bagonza, baada ya ibada ya kuwekwa wakfu (kukaribishwa kazini) Askofu Dk Alex Gehaz Malasusa kuwa Mkuu Mpya wa KKKT, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni maalumu , iliyofanyika leo Jumapili, Januari 21, 2023, katika Kanisa la Azania Front, jijini Dar Es Salaam. You Might Also Like NCHIMBI AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI KAGERA KWA MKUTANO MKUBWA MULEBA CHADEMA KWA MOTO DK.MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUMU ZANZIBAR DK NCHIMBI AKUTANA NA WAJUMBE KAMATI YA SIASA WILAYA YA ROMBO DK NCHIMBI AKUTANA NA WAJUMBE KAMATI YA SIASA WILAYA YA ROMBO Editor January 21, 2024 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article DK.BITEKO ,WAZIRI WA NISHATI MISRI WAZUNGUMZA KUHUSU MRADI JNHPP Next Article TANZANIA KUSHIRIKI MKUTANO WA MADINI INDABA 2O24 AFRIKA KUSINI Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News Askofu Shoo awataka vijana kujitambua na kushiriki katika chaguzi Jamii SERIKALI KUTOA AJIRA YA MADAKTARI WAPYA WA WANYAMA NCHINI, YAWATAKA KUSHIRIKI KAMPENI YA CHANJO YA KUDHIBITI NA KUTOKOMEZA MAGONJWA YA MIFUGO. Kitaifa UTEUZI IKULU;JOYCE MAPUNJO AKUMBUKWA,MOI YAPATA BOSI MPYA Kitaifa TANZANIA KUWEKA MIKAKATI MADHUBUTI ILI KUHAKIKISHA WANAPATIKANA WATANZANIA WENGI WATAKAOSHINDANIA NAFASI ZA KIMATAIFA Kitaifa