- Advertisement -
Ad image

Choose Your Plan

Get unlimited access to everything

Monthly Plan

Plans starting at less than $9/month. Cancel anytime.

$9/month
Unlimited access to contentPaper magazine deliveredExclusive discountPremium supportCancel any time
[swpm_payment_button id=1971 button_text="Buy Monthly Plan"]

Yearly Plan

Billed yearly at $54, Save 40% for this plan. Cancel anytime.

$54/year
Unlimited access to contentPaper magazine deliveredExclusive discountPremium supportCancel any time
[swpm_payment_button id=1971 button_text="Subscribe Now"]

Follow Us

More Latest News

MAVUNDE,MCHENGERWA KUSHUGHULIKIA TOZO ZA HALMASHAURI KWENYE MADINI

*Ni Kufuatia Changamoto za tozo za Halmashauri zilizowasilishwa na wachimbaji Morogoro *Serikali kuongeza nguvu ya Utafiti Morogoro *Wachimbaji wamshukuru Rais

Editor Editor August 6, 2024

TFRA:WAKULIMA ZINGATIENI MATUMIZI SAHIHI YA MBOLEA,UZALISHAJI MAZAO

NA MWANDISHI WETU,NKASI,RUKWA WAKULIMA nchini wametakiwa kuzingatia kanuni sahihi za matumizi ya mbolea ili kulinda afya ya udongo na kuongeza

Editor Editor March 13, 2026

Wanawake waitwa kusomea kozi uongozaji meli

NA MWANDISHI WETU, ARUSHA WANAWAKE wametakiwa kujitokeza kwa wingi kusomea kozi  za uongozaji wa meli ili waweze kunufaika na fursa

Editor Editor May 20, 2023

MAELFU YA AJIRA YANUKIA MIRADI YA CHUMA NJOMBE

NA MWANDISHI WETU,LUDEWA,NJOMBE MKOA wa Njombe unatarajiwa kuwa kitovu kipya cha uchumi wa madini nchini kufuatia uwekezaji mkubwa katika miradi

Editor Editor May 21, 2026

WANAFUNZI TAMBAZA WAFURAHISHWA NA ELIMU KOZI ZITOLEWAZO NIT

NA JANETH JOVIN,DAR ES SALAAM WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Tambaza wameeleza kufurahishwa na ujio wa wataalamu kutoka Chuo cha

Editor Editor May 21, 2026

BILIONI 514 /- kUTUMIKA MRADI WA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME CHALINZE- DODOMA

NA MWANDISHI WETU,DODOMA MKURUGENZI Mtendaji wa TANESCO, Lazaro Twange, amesema mradi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti

Editor Editor May 20, 2026

NIT YAWEKA UTARATIBU WA KUTENGA FEDHA ZA UTAFITI KWA WANATAALUMA WAKE

NA JANETH JOVIN,DAR ES SALAAM MKUU wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Dk. Prosper Mgaya amesema chuo hicho kimeweka

Editor Editor May 20, 2026

BIBI WA MIAKA 70 AMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MABORESHO DARAJA LA JP MAGUFULI

NA MWANDISHI WETU,MAGU,MWANZA HELLEN Bugoye (70) Mkazi wa Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa

Editor Editor May 20, 2026

Editor's Pick

- Advertisement -
Ad image

  TASAC YATOA TAARIFA KUZAMA KWA  MELI YA UVUVI “MV LEGACY”           SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limetoa taarifa kwa Umma kuhusu tukio lakuzama kwa boti ya uvuvi “MV LEGACY” yenye namba ya usajili DS/L1175 inayomilikiwana Yakoub Juma Khamis na yenye urefu wa mita 11 na upana wa mita 1.7 iliyopatiwa Cheti cha Usajili na Ubora na TASAC kufanya shughuli za uvuvi mnamo tarehe06/03/2024.Mnamo tarehe 10/03/2024 majira ya 10:01 alasiri, kituo chetu cha kuratibu shughuli zautafutaji na uokoaji (MRCC) kilipokea taarifa ya kuzama kwa boti ya uvuvi “MV LEGACY”iliyotokea majira ya saa 9:50 jioni karibu na fukwe ya Coco Beach, Msasani, Wilaya yaKinondoni mjini Dar es salaam ambayo ilikuwa na jumla ya Mabaharia tisa (09)ikijumuisha Wavuvi sita (06), Mhandisi Mitambo mmoja (01) na Manahodha wawili (02).Kituo cha MRCC kilifanya jukumu lake la kisheria la kuratibu shughuli ya uokoaji kwakutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi (Wanamaji) na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na kufanyajuhudi za kufika eneo la tukio na kufanya zoezi la uokoaji. Watu wote tisa wamefanikiwakuokolewa na wanaendelea vizuri kiafya bila ya kuwa na changamoto yoyote.Boti hiyo ambayo ilikuwa katika majaribio ya kiufundi baada ya matengenezo ya mifumoya uvuaji samaki kwa kukokota (Trawling), ilianza majaribio majira ya saa 3:00 asubuhiikitokea maeneo ya Tandavamba, Kivukoni na kufanya majaribio ya kuvua samakiwakizunguka katika maeneo yenye maji mafupi karibu na eneo la daraja jipya laTanzanite (Upanga) hadi Coco Beach (Oysterbay). Ilipofika majira ya saa 9:50 Alasiriwakati nahodha anabadilisha uelekeo wa boti kuelekea upande wa kulia ndipo kambamoja ya upande wa kushoto ikakatika na kusababisha uzito kelemea kwenye kamba yaupande wa kulia na ndipo uzito ulipohama ghafla na kuilazimisha boti kunywa majiupande wa kulia kisha kuzama.TASAC inaendelea kutoa rai kwa wamiliki na waendeshaji wa vyombo majini kuzingatiaSheria na Kanuni za udhibiti usafiri majini na kuhakikisha muda wote wanavalia majaketiokozi ili kujiepusha na maafa yanayoweza kusababishwa na tukio la ajali.Imetolewa na;Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu,Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC).

This will close in 20 seconds