Kitaifa WAJUMBE BODI MPYA REA WAAHIDI KUFANYA KAZI KWA WELEDI. Editor February 27, 2024 Updated 2024/02/27 at 4:24 PM Share SHARE *WAMSHUKURU RAIS KWA KUWAKOPESHA IMANI NA VERONICA SIMBA,REA Mhandisi Ahmed Chinemba, Mkurugenzi – Bodi ya Nishati Vijijini – Feb. 2024.“Tunashukuru kwa kuaminiwa na Serikali ya Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Ametukopesha imani, mimi pamoja na wenzangu tutamlipa kwa usimamizi mzuri wa Taasisi. Tukiongozwa na Mwenyekiti wetu tutaisimamia REA itekeleze majukumu yake kama ambavyo imekusudiwa katika Sheria ya REA ya Mwaka 2005.” Mhandisi Mwantum Sultan, Mkurugenzi – Bodi ya Nishati Vijijini – Feb. 2024.“Naahidi nitatumikia nafasi hii kwa juhudi na weledi katika kulinda maslahi mapana ya Taifa letu.” You Might Also Like SERIKALI KUTOA AJIRA YA MADAKTARI WAPYA WA WANYAMA NCHINI, YAWATAKA KUSHIRIKI KAMPENI YA CHANJO YA KUDHIBITI NA KUTOKOMEZA MAGONJWA YA MIFUGO. UTEUZI IKULU;JOYCE MAPUNJO AKUMBUKWA,MOI YAPATA BOSI MPYA TANZANIA KUWEKA MIKAKATI MADHUBUTI ILI KUHAKIKISHA WANAPATIKANA WATANZANIA WENGI WATAKAOSHINDANIA NAFASI ZA KIMATAIFA RAIS SAMIA KUFUNGUA KONGAMANO LA CHAMA CHA MADAKTARI WA WANYAMA NCHINI JIJINI ARUSHA KESHO MATUMIZI YA MFUMO WA KIELEKTRONIKI KWA BARAZA LA MAWAZIRI KUBORESHA UTENDAJI KAZI KWA WANANCHI Editor February 27, 2024 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article DK. BITEKO MGENI RASMI MKUTANO WADAU WA UTAMADUNI NA SANAA Next Article MWEKA HAZINA SERENGETI AKAMATWA KWA UPIGAJI WA FEDHA Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News Askofu Shoo awataka vijana kujitambua na kushiriki katika chaguzi Jamii SERIKALI KUTOA AJIRA YA MADAKTARI WAPYA WA WANYAMA NCHINI, YAWATAKA KUSHIRIKI KAMPENI YA CHANJO YA KUDHIBITI NA KUTOKOMEZA MAGONJWA YA MIFUGO. Kitaifa UTEUZI IKULU;JOYCE MAPUNJO AKUMBUKWA,MOI YAPATA BOSI MPYA Kitaifa TANZANIA KUWEKA MIKAKATI MADHUBUTI ILI KUHAKIKISHA WANAPATIKANA WATANZANIA WENGI WATAKAOSHINDANIA NAFASI ZA KIMATAIFA Kitaifa