Kitaifa Rais Dk .Samia Suluhu Hassan apokea ujumbe Maalum kutoka DRC, Ikulu Chamwino Editor April 17, 2023 Updated 2023/04/17 at 8:21 PM Share SHARE NA MWANDISHI MAALUM, IKULU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi, Profesa Serge Tshibangu mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili 17 , 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi, Profesa Serge Tshibangu mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili17, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum wa Rais huyo Profesa Serge Tshibangu mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili 17, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi, Profesa Serge Tshibangu mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili 17, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi, Profesa Serge Tshibangu mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili 17, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi, Profesa Serge Tshibangu pamoja na ujumbe aliombatana nao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili 17 , 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi, Profesa Serge Tshibangu mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili 17 , 2023. You Might Also Like NAIBU KATIBU MKUU UJENZI ATEMBELEA TBA RAIS SAMIA:VYAMA VYA SIASA HESHIMUNI FALSAFA YA 4R RAIS SAMIA AFUNGUKA SERIKALI KUFANYA JITIHADA KUHAKIKISHA UNAFUU UPATIKANAJI BIDHAA NISHATI SAFI YA KUPIKIA MAJALIWA: SERIKALI IMESAJILI MIRADI YA DOLA BILIONI 8.65 NDANI YA MWAKA MMOJA Editor April 17, 2023 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article Tani milioni 18 .5 za madini zitakazochimbwa kwa miaka 20 zagundulika Songwe Next Article Rais Dk Samia mgeni rasmi maadhimisho Mei Mosi Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News Viongozi wa AMCOS jela miaka miwili kwa jaribio la kutoa rushwa kwa Bosi wa Takukuru Tunduru Mahakamani BITEKO MGENI RASMI UWEKAJI JIWE LA MSINGI UJENZI BWAWA LA KUZALISHA UMEME MTO MALAGARASI Jamii NAIBU KATIBU MKUU UJENZI ATEMBELEA TBA Kitaifa AHADI YA RAIS SAMIA YA UJENZI WA KIWANDA CHA CHUMVI YAANZA KUTEKELEZWA Uchumi