Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Dk Wilson Mahera kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo 11 Machi, 2023.