Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni jijini Dodoma, Septemba 7, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum, Hawa Mwaifunga, bungeni jijini Dodoma, Septemba 7, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Urambo Margaret Sitta, bungeni jijini Dodoma, Septemba 7, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)