KitaifaMchanganyiko Meridianbet yatoa msaada wa viakisi mwanga kwa madereva bodaboda Editor March 20, 2023 Updated 2023/03/20 at 2:03 PM Share SHARE Msaidizi wa Mkuu wa Usalama barabarani mkoa wa kipolisi kawe, Inspekta Alex Duguza(Kulia)akitoa elimu kwa waendesha bodaboda wa kawe jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwakabidhi bodaboda hao viakisi mwanga’Reflectors’(100) kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Tanzania,Matina Nkurlu (Katikati) ikiwa ni kuadhimisha wiki ya nenda kwa Usalama barabarani. Msaidizi wa Mkuu wa Usalama barabarani mkoa wa kipolisi kawe, Inspekta Alex Duguza(Kulia)akitoa elimu kwa waendesha bodaboda wa kawe jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwakabidhi bodaboda hao viakisi mwanga’Reflectors’(100) kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Tanzania,Matina Nkurlu (Katikati) ikiwa ni kuadhimisha wiki ya nenda kwa Usalama barabarani. Msaidizi wa Mkuu wa Usalama barabarani mkoa wa kipolisi kawe, Inspekta Alex Duguza(Kulia)akipokea viakisi mwanga’Reflectors’(100) kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Tanzania,Matina Nkurlu (Kushoto) pamoja na kutoa elimu ya kuzuia ajali za barabarani kwa bodaboda wa eneo la Kawe, ikiwa ni kuadhimisha wiki ya nenda kwa Usalama barabarani. Baadhi ya madereva bodaboda wa kituo cha kanisani kawe jijini dar es Salaam,wakifurahi baada ya kukabidhiwa viakisi mwanga’Reflectors’(100) pamoja na elimu ya kuzuia ajali barabarani na Msaidizi wa Mkuu wa Usalama barabarani mkoa wa kipolisi kawe, Inspector Alex Duguza na Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Tanzania,Matina Nkurlu (mwenye miwani) katika kuadhimisha wiki ya nenda kwa Usalama barabarani. You Might Also Like BRELA KUFANYA MABORESHO KWENYE MFUMO WA USAJILI BIASHARA MTANDAONI WATHAMINI WAPATIWA MAFUNZO UANDAAJI VITALU VYA THAMANI YA ARDHI SERIKALI KUTOA AJIRA YA MADAKTARI WAPYA WA WANYAMA NCHINI, YAWATAKA KUSHIRIKI KAMPENI YA CHANJO YA KUDHIBITI NA KUTOKOMEZA MAGONJWA YA MIFUGO. UTEUZI IKULU;JOYCE MAPUNJO AKUMBUKWA,MOI YAPATA BOSI MPYA TANZANIA KUWEKA MIKAKATI MADHUBUTI ILI KUHAKIKISHA WANAPATIKANA WATANZANIA WENGI WATAKAOSHINDANIA NAFASI ZA KIMATAIFA Editor March 20, 2023 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article Nchi za SADC zaweka mikakati ya kujikwamua kiuchumi Next Article TETESI ZA USAJILI LEO MACHI 20, 2023 Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News TANZANIA, SAUDI ARABIA KUIMARISHA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI Kimataifa BRELA KUFANYA MABORESHO KWENYE MFUMO WA USAJILI BIASHARA MTANDAONI Kitaifa WATHAMINI WAPATIWA MAFUNZO UANDAAJI VITALU VYA THAMANI YA ARDHI Kitaifa Mfumo Mpya wa Kidijitali wa Malalamiko kwa watumiaji wa huduma za kifedha hautawaacha nyuma wenye vitochi-BoT Uchumi