KitaifaMchanganyiko Meridianbet yatoa msaada wa viakisi mwanga kwa madereva bodaboda Editor March 20, 2023 Updated 2023/03/20 at 2:03 PM Share SHARE Msaidizi wa Mkuu wa Usalama barabarani mkoa wa kipolisi kawe, Inspekta Alex Duguza(Kulia)akitoa elimu kwa waendesha bodaboda wa kawe jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwakabidhi bodaboda hao viakisi mwanga’Reflectors’(100) kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Tanzania,Matina Nkurlu (Katikati) ikiwa ni kuadhimisha wiki ya nenda kwa Usalama barabarani. Msaidizi wa Mkuu wa Usalama barabarani mkoa wa kipolisi kawe, Inspekta Alex Duguza(Kulia)akitoa elimu kwa waendesha bodaboda wa kawe jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwakabidhi bodaboda hao viakisi mwanga’Reflectors’(100) kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Tanzania,Matina Nkurlu (Katikati) ikiwa ni kuadhimisha wiki ya nenda kwa Usalama barabarani. Msaidizi wa Mkuu wa Usalama barabarani mkoa wa kipolisi kawe, Inspekta Alex Duguza(Kulia)akipokea viakisi mwanga’Reflectors’(100) kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Tanzania,Matina Nkurlu (Kushoto) pamoja na kutoa elimu ya kuzuia ajali za barabarani kwa bodaboda wa eneo la Kawe, ikiwa ni kuadhimisha wiki ya nenda kwa Usalama barabarani. Baadhi ya madereva bodaboda wa kituo cha kanisani kawe jijini dar es Salaam,wakifurahi baada ya kukabidhiwa viakisi mwanga’Reflectors’(100) pamoja na elimu ya kuzuia ajali barabarani na Msaidizi wa Mkuu wa Usalama barabarani mkoa wa kipolisi kawe, Inspector Alex Duguza na Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Tanzania,Matina Nkurlu (mwenye miwani) katika kuadhimisha wiki ya nenda kwa Usalama barabarani. You Might Also Like SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA WAKALA WA VIPIMO WAZINDUA JARIDA LAO LA MTANDAONI UJENZI OFISI KUU WAKALA WA VIPIMO KUKAMILIKA JANUARI 2025 TAMKO LA LHRC KUKAMATWA KWA ALIYEKUWA MEYA WA UBUNGO BONIFACE JACOB Editor March 20, 2023 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article Nchi za SADC zaweka mikakati ya kujikwamua kiuchumi Next Article TETESI ZA USAJILI LEO MACHI 20, 2023 Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI Kitaifa DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA Kitaifa BoT:AKIBA FEDHA ZA KIGENI IMEONGEZEKA Uchumi WAKALA WA VIPIMO WAZINDUA JARIDA LAO LA MTANDAONI Kitaifa