*YAWAKARIBISHA WANANCHI KUPATA ELIMU YA VIPIMO
* YASISITIZA KUENDELEA KUWEKA KAMBI VIWANJA VYA CHINANGALI HADI JUNI 23,2025
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
ELIMU ya vipimo inaendelea kutolewa katika Banda la Wakala wa Vipimo (WMA) kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Uwanja wa Chinangali Park, Dodoma.
.