OFISA Mkuu wa wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi (wapili kulia) pamoja na Mkuu wa idara ya Biashara wa Benki ya NMB, Alex Mgeni (wapili kushoto) na Meneja mwandamizi kutoka idara ya kadi, Manfred Kayala (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa uwezeshaji wa wajasirimmali wadogo na wa kati kutoka Mastercard, Imelda Ngunzu baada ya kutunukiwa tuzo ya Benki ya kwanza kuwa na kadi maalum ya mastercard kwa wajasirimmali wadogo na wakati Afrika Mashariki katika hafla mealum ya utoaji tuzo iliofanyika jijini Dubai patika falme za kiarabu.
SHARE
NA MPIGA PICHA MAALUM,DUBAI
OFISA Mkuu wa wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi (kulia) akipokea tuzo ya Benki ya kwanza kuwa na kadi maalum ya Mastercard kwa wajasirimmali wadogo na wa kati Afrika Mashariki kutoka kwa Makamu wa Rais, malipo ya Mastercard, Prakrithi Singh (kushoto) katika hafla maalum ya utoaji tuzo iliofanyika nchini Dubai katika Falme za kiarabu.OFISA Mkuu wa wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi (wapili kulia) pamoja na Mkuu wa idara ya Biashara wa Benki ya NMB, Alex Mgeni (wapili kushoto) na Meneja mwandamizi kutoka idara ya kadi, Manfred Kayala (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa uwezeshaji wa wajasirimmali wadogo na wa kati kutoka Mastercard, Imelda Ngunzu baada ya kutunukiwa tuzo ya Benki ya kwanza kuwa na kadi maalum ya mastercard kwa wajasirimmali wadogo na wakati Afrika Mashariki katika hafla mealum ya utoaji tuzo iliofanyika nchini Dubai katika Falme za kiarabu.