NA MWANDISHI WETU, DODOMA
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan leo Mei 20, 2023 amefanya ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Ikulu Chamwino, Dodoma
Katika ufunguzi huo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Abdullah ameshiriki katika Ufunguzi wa Jengo hilo.



Hafla hiyo imehudhuriwa na Viongozi mbali mbali wa Serikali, Vyama vya Siasa, Mabalozi wanaoziwakilisha Nchi zao Tanzania na Wananchi wa Mikoa yote ya Tanzania.