Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam Machi 30, 2023.Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam Machi 30 , 2023. Pembeni yake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan