NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MWILI wa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe utasafirishwa kuelekea mkoani Lindi na kuzikwa Mei 16, 2023.
Ratiba inaonesha Jumapili Mei 14, 2023 saa 3:30 asubuhi mwili utaagwa katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam kisha kurudishwa nyumbani kwake Mikocheni.