NA MWANDISHI MAALUM,DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali ( hawapo pichani)kabla ya kuzindua Kamati ya kufanya tathmini ufanisi wa Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu Jijini Dar es Salaam Machi 31, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya kufanya tathmini ufanisi wa Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, baadhi ya Mabalozi pamoja na Watendaji wa Wizara hiyo mara baada ya uzinduzi wa Kamati hiyo uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Machi 31,2023. .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Kamati ya kufanya tathmini ufanisi wa Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu Jijini Dar es Salaam Machi 31, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya kufanya tathmini ufanisi wa Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki mara baada ya kuzindua Kamati hiyo, Ikulu Jijini Dar es Salam. Wajumbe wa Kamati hiyo ni Balozi Yahya Simba (Mwenyekiti) wa pili kutoka kushoto, Balozi Dk Mwanaidi Maajar wa pili kutoka kulia, Balozi Peter Kallaghe wa kwanza kushoto pamoja na Balozi Tuvako Manongi wa kwanza kulia pamoja na Balozi Ramadhan Mwinyi watatu kutoka kulia
Wajumbe wa Kamati pamoja na Viongozi wengine wakiwa kwenye uzinduzi wa Kamati ya kufanya tathmini ufanisi wa Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu Jijini Dar es Salaam Machi 31 , 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk Stergomena Tax, Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Moses Kusiluka pamoja na Wajumbe wa Kamati ya kufanya tathmini ufanisi wa Utendaji Kazi wa Wizara hiyo ya Mambo ya Nje mara baada ya uzinduzi, Ikulu Jijini Dar es Salaam Machi 31, 2023.