Kitaifa MKUU WA KITENGO CHA MAWASILIANO WIZARA YA FEDHA AKAGUA MIUNDOMBINU YA HABARI MTUMBA Editor January 25, 2024 Updated 2024/01/25 at 6:02 PM Share SHARE NA PETER HAULE,WF,DODOMA Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja akizungumza kuhusu miundondombinu ya Mawasiliano na Mhandisi wa Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba, David Shunu, alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo hilo, jijini Dodoma. Mtaalamu wa Ujenzi wa Studio za Habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Karim Chitenda (katikati) akieleza kuhusu mazingira ya Studio za Habari kwa Mhandisi wa Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba, David Shunu wakati Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja (kushoto) alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo hilo, jijini Dodoma. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja akizungumza na Wahandisi wa Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba pamoja na Mtaalamu wa Ujenzi wa Studio za Habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Karim Chitenda, alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo hilo, jijini Dodoma. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja (katikati) akikagua miundombinu ya Mawasiliano katika Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba, kulia ni Mhandisi wa Jengo hilo Bw. David Shunu na kushoto ni Mtaalamu wa Ujenzi wa Studio za Habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Karim Chitenda, alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo hilo, jijini Dodoma. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja, akisikiliza maelezo ya Mtaalamu wa Ujenzi wa Studio za Habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Karim Chitenda (wa pili kulia), wakati Mkuu huyo wa Kitengo alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo hilo, jijini Dodoma. Kulia ni Mhandisi wa Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba, David Shunu. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja (katikati) na Mtaalamu wa Ujenzi wa Studio za Habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Karim Chitenda (kulia) wakisikiliza maelezo ya, Mhandisi wa Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba, David Shunu, wakati Mkuu huyo wa Kitengo cha Mawasiliano alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo jipya la Wizara ya Fedha, Mtumba, jijini Dodoma. You Might Also Like GRIDI ZA TANZANIA,KENYA KUIMARISHA UPATIKANAJI WA UMEME NCHINI OFISI YA MSAJILI WA HAZINA YAOMBOLEZA KIFO CHA ALIYEKUWA MKURUGENZI WAKE WA UTAWALA NA RASILIMALI WATU NA BINTI YAKE WA KWANZA WALIOPOTEZA MAISHA AJALINI,YATOA POLE KWA MAJERUHI BRELA KUFANYA MABORESHO KWENYE MFUMO WA USAJILI BIASHARA MTANDAONI WATHAMINI WAPATIWA MAFUNZO UANDAAJI VITALU VYA THAMANI YA ARDHI SERIKALI KUTOA AJIRA YA MADAKTARI WAPYA WA WANYAMA NCHINI, YAWATAKA KUSHIRIKI KAMPENI YA CHANJO YA KUDHIBITI NA KUTOKOMEZA MAGONJWA YA MIFUGO. Editor January 25, 2024 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article BITEKO AWAPASHA WATENDAJI Next Article Dk.Mwigulu:Serikali itaendelea kuboresha sera za kodi ili kuchochea uwekezaji Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News MENEJIMENTI YA MOI YAWAPA ZAWADI NA SHUKURANI WATUMISHI WAKE Afya BoT KUCHUKUA HATUA ZAIDI KUHAMASISHA MATUMIZI YA KADI ZA BENKI KWENYE MASHINE ZA POS,YASISITIZA KUWA HAKUNA ADA YEYOTE INAYOTOZWA Uchumi GRIDI ZA TANZANIA,KENYA KUIMARISHA UPATIKANAJI WA UMEME NCHINI Kitaifa OFISI YA MSAJILI WA HAZINA YAOMBOLEZA KIFO CHA ALIYEKUWA MKURUGENZI WAKE WA UTAWALA NA RASILIMALI WATU NA BINTI YAKE WA KWANZA WALIOPOTEZA MAISHA AJALINI,YATOA POLE KWA MAJERUHI Kitaifa