MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dk.Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa Uuguzi wanaosimamia vitengo mbalimbali vinavyofanya kazi za uuguzi baada ya kuwapatia vyeti vya kuthamini mchango wao katika kusimamia shughuli zinazofanywa na Taasisi. Picha na: JKCIMKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dk.Peter Kisenge akimkabidhi Afisa Muuguzi wa Taasisi hiyo anayesimamia katika wodi ya wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (CCU) Tuzo Mcharo cheti cha kuthamini mchango wake katika kutoa huduma bora kwa wagonjwa wanaotibiwa JKCI.MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dk.Peter Kisenge akimkabidhi Ofisa Muuguzi wa Taasisi hiyo anayesimamia wodi namba tatu Salama Mkinga cheti cha kuthamini mchango wake katika kutoa huduma bora kwa wagonjwa wanaotibiwa na JKCI.