Uchumi DK NCHEMBA AKUTANA NA UONGOZI WA VODACOM TANZANIA Editor January 25, 2024 Updated 2024/01/25 at 3:10 PM Share SHARE NA JOSEPH MAHUMI, DODOMA Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba (Mb) (katikati), akizungumza wakati wa kikao chake na ujumbe kutoka Kampuni ya Vodacom Tanzania (kulia) ulioongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya hiyo, Philip Basiimire, jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano na uwekezaji kati ya Serikali na Kampuni hiyo. Waziri wa Fedha, Dk.Mwigulu Nchemba (Mb) (wa tano kulia), na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Philip Basiimire (wa tano kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Vodacom Tanzania pamoja na Maofisa wa Wizara ya Fedha, baada ya kumalizika kwa Kikao chao, jijini Dodoma, ambapo katika kikao hicho wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano na uwekezaji kati ya Serikali na Kampuni hiyo. Ujumbe kutoka Kampuni ya Vodacom Tanzania ukiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Philip Basiimire (kulia), ukimsikiliza kwa umakini Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba (hayupo pichani), wakati wa kikao chao kilichofanyika jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano na uwekezaji kati ya Serikali na Kampuni hiyo. Waziri wa Fedha,Dk Mwigulu Nchemba akizungumza wakati wa kikao chake na ujumbe kutoka Kampuni ya Vodacom Tanzania ulioongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya hiyo, Philip Basiimire (hayupo pichani), jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano na uwekezaji kati ya Serikali na Kampuni hiyo. Waziri wa Fedha,Dk. Mwigulu Nchemba (kulia), akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Philip Basiimire, baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Kampuni hiyo, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na Kampuni hiyo. You Might Also Like LUKUVI ATEMBELEA BANDA LA BENKI KUU MAONESHO YA SABA YA MIFUMO NA PROGRAMU ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMIN WADAU 1500 KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI DUNIANI KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA UWEKEZAJI MADINI DAR UCHUMI WA TANZANIA UMEENDELEA KUIMARIKA-TUTUBA CMSA YAJIKITA KUTOA ELIMU UMUHIMU WA KUWEKEZA KATIKA SOKO LA MITAJI BoT YATANGAZA UKOMO WA RIBA YA ASILIMIA SITA KWA BENKI ZA BIASHARA ROBO YA TATU YA MWAKA Editor January 25, 2024 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article DCEA kuanza operesheni maalumu kusaka Dawa za Kulevya nchi kavu na baharini Next Article MAVUNDE : WASHIRIKI INDABA IWEKENI TANZANIA KWENYE RAMANI YA DUNIA Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News Watoto 300 wafanyiwa upasuaji wa moyo Kambi matibabu ya JKCI na Saudi Arabia Afya MAJALIWA: SERIKALI IMESAJILI MIRADI YA DOLA BILIONI 8.65 NDANI YA MWAKA MMOJA Kitaifa WAZIRI JAFO APIGILIA MSUMARI MATUMIZI SAHIHI YA VIPIMO KWENYE MANUNUZI Elimu WADAU WA MANUNUZI WANOLEWA MATUMIZI SAHIHI HUDUMA ZA HALI YA HEWA Hali ya Hewa