Kitaifa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akutana na Balozi wa Muungano wa Umoja wa Falme za Kiarabu Nchini Tanzania (UAE), Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar Editor April 25, 2023 Updated 2023/04/25 at 2:07 PM Share SHARE NA MWANDISHI MAALUM, IKULU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania Khalifa Abdulrahman Almarzouqi alipofika Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar leo Aprili 25, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Muungano wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Zayed Al Nahyan uliowasilishwa na Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania Khalifa Abdulrahman Almarzouqi Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar leo Aprili 25 , 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania Khalifa Abdulrahman Almarzouqi mara baada ya kukabidhi Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Muungano wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Zayed Al Nahyan Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania . Khalifa Abdulrahman Almarzouqi alipofika Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar You Might Also Like WMA, TAKUKURU WATEKELEZA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA BITEKO AKUTANA NA BALOZI MPYA WA UINGEREZA NCHINI BRELA YAWASHAURI WABUNIFU WA MAUMBO NA MICHORO KUBUNI MAUMBO YENYE MVUTO TANZANIA KUJIIMARISHA ZAIDI KIDIPLOMASIA WAKALA WA VIPIMO WAHIMIZA MATUMIZI MIZANI ILIYOHAKIKIWA KWA WAFANYABIASHARA WA GESI Editor April 25, 2023 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article Miili ya waumini waliofunga hadi kufa yafikia 65 Next Article Biden atangaza kugombea tena Urais Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News WMA, TAKUKURU WATEKELEZA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA Kitaifa Mkurugenzi wa M Tours atembelea Makuyuni Wildlife Park Utalii WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA HISANI ZA MAENDELEO BANK Michezo BITEKO AKUTANA NA BALOZI MPYA WA UINGEREZA NCHINI Kitaifa