NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
SIO jambo la kawaida kwa baadhi ya watu wakati kijana anapoibuka mshindi wa Sh 54,700,000 za Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, lakini ghafla akawaambia wahusika wasimtangaze jina lake.
Hayo yamejiri Aprili 3 , 2023 wakati ambapo mshindi wa michezo ya kubashiri mtandaoni(jina linahifadhiwa) aliposhinda kupitia Meridianbet
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet, Matina Nkurlu amesema kuwa wanaheshimu uamuzi wake, hivyo wameamua kutomtaja jina mshindi huyo., ingawa hilo si jambo jipya.
“Majina yake kamili yamehifadhiwa alicheza sloti ya 100 Burning Hot 100 Burning Hot inayopatikana kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, sloti hii inalipa sana, kwani ushindi ni rahisi kuupata kwa dau dogo tu la kuanzia Sh 100,” amesema Matina na kuongeza kuwa mshindi huyo ni maarufu kwa jina la Mwarabu.
“Sloti ya 100 Burning Hot ni miongoni mwa michezo pendwa ya kasino inayotoa mkwanja muda wowote, sloti nyingine rahisi kushinda ni Aviator, Poker na Titan Roulette yote unaipata kwenye kasino ya mtandaoni ya kupitia www.meridianbet.co.tz.
“Huenda leo wewe ukaibuka na ushindi kama huu au zaidi ya huu. Cheza kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet kupitia www.meridianbet.co.tz.,” amesema. na kusisitiza kuwa suala la mtu kutotangazwa ni jambo la kawaida kwenye michezo ya kasino, ingawa kwa baadhi ya watu wanaweza kuona ni kitu kipya.
Matina amewataka wadau wa michezo hiyo kuendelea kucheza sloti mbalimbali ili kujipatia ushindi na kuwa kama Mwarabu ambaye sasa ametimiza ndoto zake.
Kwa upande wake mshindi huyo amesema: “Naipenda sloti ya 100 Burning Hot kea sababu inanipa sloti nyingi za kucheza na zote ni rahisi,” amesema na kuongeza kuwa yeye alicheza kwa dau la Sh 50,000.