Uchumi Rais Samia akutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu na Rais wa Barrick Gold Corporation , Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Editor March 23, 2023 Updated 2023/03/24 at 4:46 PM Share SHARE NA MWANDISHI MAALUM, IKULU DODOMA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Briston, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Machi 20, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Briston pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Machi 20, 2023. icha namba 4-5. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Marekani 30,000,000.00 kutoka kwa Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Briston kwa ajili ya shughuli mbalimbali za Elimu, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Machi 20, 2023. Fedha hizo zitatumika katika ujenzi wa Mabweni 273 pamoja na Madarasa zaidi ya 1094 kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika maeneo mbalimbali nchini Tanzani. You Might Also Like BoT KUCHUKUA HATUA ZAIDI KUHAMASISHA MATUMIZI YA KADI ZA BENKI KWENYE MASHINE ZA POS,YASISITIZA KUWA HAKUNA ADA YEYOTE INAYOTOZWA Mfumo Mpya wa Kidijitali wa Malalamiko kwa watumiaji wa huduma za kifedha hautawaacha nyuma wenye vitochi-BoT TAKUKURU MKOA WA TANGA YAPAISHA UKUSANYAJI MAPATO SEAFRONT SHIPPING SERVICE LTD YAFANIKISHA MPANGO MELI KUBWA YA MIZIGO KUTUA TANGA TUME YA RAIS YA MABORESHO YA KODI YAANZA RASMI MCHAKATO UKUSANYAJI MAONI Editor March 23, 2023 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article Waziri Dk Tax, Balozi Mbarouk wakutana na Mabalozi wa Marekani , Urusi Next Article Amka na Magazeti Leo Alhamisi, Machi 23, 2023 Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News MENEJIMENTI YA MOI YAWAPA ZAWADI NA SHUKURANI WATUMISHI WAKE Afya BoT KUCHUKUA HATUA ZAIDI KUHAMASISHA MATUMIZI YA KADI ZA BENKI KWENYE MASHINE ZA POS,YASISITIZA KUWA HAKUNA ADA YEYOTE INAYOTOZWA Uchumi GRIDI ZA TANZANIA,KENYA KUIMARISHA UPATIKANAJI WA UMEME NCHINI Kitaifa OFISI YA MSAJILI WA HAZINA YAOMBOLEZA KIFO CHA ALIYEKUWA MKURUGENZI WAKE WA UTAWALA NA RASILIMALI WATU NA BINTI YAKE WA KWANZA WALIOPOTEZA MAISHA AJALINI,YATOA POLE KWA MAJERUHI Kitaifa