Uchumi DK NCHEMBA AKUTANA NA UONGOZI WA VODACOM TANZANIA Editor January 25, 2024 Updated 2024/01/25 at 3:10 PM Share SHARE NA JOSEPH MAHUMI, DODOMA Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba (Mb) (katikati), akizungumza wakati wa kikao chake na ujumbe kutoka Kampuni ya Vodacom Tanzania (kulia) ulioongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya hiyo, Philip Basiimire, jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano na uwekezaji kati ya Serikali na Kampuni hiyo. Waziri wa Fedha, Dk.Mwigulu Nchemba (Mb) (wa tano kulia), na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Philip Basiimire (wa tano kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Vodacom Tanzania pamoja na Maofisa wa Wizara ya Fedha, baada ya kumalizika kwa Kikao chao, jijini Dodoma, ambapo katika kikao hicho wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano na uwekezaji kati ya Serikali na Kampuni hiyo. Ujumbe kutoka Kampuni ya Vodacom Tanzania ukiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Philip Basiimire (kulia), ukimsikiliza kwa umakini Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba (hayupo pichani), wakati wa kikao chao kilichofanyika jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano na uwekezaji kati ya Serikali na Kampuni hiyo. Waziri wa Fedha,Dk Mwigulu Nchemba akizungumza wakati wa kikao chake na ujumbe kutoka Kampuni ya Vodacom Tanzania ulioongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya hiyo, Philip Basiimire (hayupo pichani), jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano na uwekezaji kati ya Serikali na Kampuni hiyo. Waziri wa Fedha,Dk. Mwigulu Nchemba (kulia), akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Philip Basiimire, baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Kampuni hiyo, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na Kampuni hiyo. You Might Also Like BoT KUCHUKUA HATUA ZAIDI KUHAMASISHA MATUMIZI YA KADI ZA BENKI KWENYE MASHINE ZA POS,YASISITIZA KUWA HAKUNA ADA YEYOTE INAYOTOZWA Mfumo Mpya wa Kidijitali wa Malalamiko kwa watumiaji wa huduma za kifedha hautawaacha nyuma wenye vitochi-BoT TAKUKURU MKOA WA TANGA YAPAISHA UKUSANYAJI MAPATO SEAFRONT SHIPPING SERVICE LTD YAFANIKISHA MPANGO MELI KUBWA YA MIZIGO KUTUA TANGA TUME YA RAIS YA MABORESHO YA KODI YAANZA RASMI MCHAKATO UKUSANYAJI MAONI Editor January 25, 2024 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article DCEA kuanza operesheni maalumu kusaka Dawa za Kulevya nchi kavu na baharini Next Article MAVUNDE : WASHIRIKI INDABA IWEKENI TANZANIA KWENYE RAMANI YA DUNIA Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News BRELA YAWAJENGEA UWEZO VIJANA 1500 WA VYUO Elimu RAIS SAMIA APONGEZWA UWEZESHAJI UJENZI JENGO LA OFISI YA MAKAO MAKUU WMA Kitaifa LIVE : MKUTANO MKUU MAALUMU WA CHAMA CHA MAPINDUZI TAIFA LEO JANUARI 19,2025I Mchanganyiko MKUTANO MKUU MAALUMU WA CHAMA CHA MAPINDUZI LEO JANUARI 18,2025 Mchanganyiko