Jamii Wapata elimu ya kujikinga na magonjwa ya moyo Editor April 27, 2024 Updated 2024/04/27 at 4:26 PM Share SHARE DAKTARI bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dickson Minja akimpima shinikizo la damu Kamishna wa kazi msaidizi ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Andrew Mwalwisi wakati wa tiba mkoba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inayofanyika katika Maonesho ya kimataifa ya usalama mahala pa kazi katika viwanja vya General tyre vilivyopo jijini Arusha. MKURUGENZI wa Idara ya magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tatizo Waane akiwafundisha namna moyo unavyofanya kazi wananchi waliotembelea banda la taasisi hiyo wakati wa tiba mkoba ya Dk. Samia Suluhu Hassan katika maonesho ya kimataifa ya usalama mahala pa kazi kwenye viwanja vya General tyre vilivyopo jijini Arusha. MKURUGENZI wa Idara ya magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tatizo Waane akimpa ushauri mara baada ya kupima moyo mwananchi aliyejitokeza wakati wa tiba mkoba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inayofanyika katika Maonesho ya kimataifa ya usalama mahala pa kazi katika viwanja vya General Tyre vilivyopo jijini Arusha. You Might Also Like BITEKO AWATAKA WATAALAMU WA MAABARA KUTOA MAJIBU SAHIHI MKURUGENZI MANISPAA YA UBUNGO ACHANGIA SH.MILIONI MOJA KWA TAASISI YA SAMBAZA UPENDO ZOEZI LA UGAWAJI MAHINDI MSOMERA LAENDELEA BITEKO MGENI RASMI UWEKAJI JIWE LA MSINGI UJENZI BWAWA LA KUZALISHA UMEME MTO MALAGARASI WANANCHI WA MAGAMBA WATOA WITO KWA SERIKALI KUHUSU VIBALI VYA MGODI WA BOXITE Editor April 27, 2024 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article MATUKIO MBALIMBALI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR LEO APRILI 26,2024 Next Article WANANCHI WATAKIWA KUTUNZA BARABARA NA ALAMA ZAKE Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI Kitaifa DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA Kitaifa BoT:AKIBA FEDHA ZA KIGENI IMEONGEZEKA Uchumi WAKALA WA VIPIMO WAZINDUA JARIDA LAO LA MTANDAONI Kitaifa