DAKTARI bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dickson Minja akimpima shinikizo la damu Kamishna wa kazi msaidizi ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Andrew Mwalwisi wakati wa tiba mkoba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inayofanyika katika Maonesho ya kimataifa ya usalama mahala pa kazi katika viwanja vya General tyre vilivyopo jijini Arusha.MKURUGENZI wa Idara ya magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tatizo Waane akiwafundisha namna moyo unavyofanya kazi wananchi waliotembelea banda la taasisi hiyo wakati wa tiba mkoba ya Dk. Samia Suluhu Hassan katika maonesho ya kimataifa ya usalama mahala pa kazi kwenye viwanja vya General tyre vilivyopo jijini Arusha.MKURUGENZI wa Idara ya magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tatizo Waane akimpa ushauri mara baada ya kupima moyo mwananchi aliyejitokeza wakati wa tiba mkoba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inayofanyika katika Maonesho ya kimataifa ya usalama mahala pa kazi katika viwanja vya General Tyre vilivyopo jijini Arusha.