Kitaifa WAJUMBE WA BODI MPYA REA WAENDELEA KUAHIDI UTENDAJI ULIOTUKUKA Editor February 28, 2024 Updated 2024/02/28 at 10:12 AM Share SHARE James Mabula, Mkurugenzi – Bodi ya Nishati Vijijini – Feb. 2024.“Ninamshukuru Rais kumteua Mwenyekiti wetu wa Bodi na ninamshukuru Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati kwa imani kubwa kwangu kuniteua kuwa Mjumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini. Ninaahidi kushirikiana na Wajumbe wenzangu pamoja na Menejimenti nzima ya REA kuhakikisha kwamba tunasukuma gurudumu la maendeleo. Kazi kubwa imekwishafanyika hadi sasa, nadhani kazi yetu itakuwa rahisi maana tunaanzia sehemu ambayo ni nzuri zaidi.” You Might Also Like BRELA KUFANYA MABORESHO KWENYE MFUMO WA USAJILI BIASHARA MTANDAONI WATHAMINI WAPATIWA MAFUNZO UANDAAJI VITALU VYA THAMANI YA ARDHI SERIKALI KUTOA AJIRA YA MADAKTARI WAPYA WA WANYAMA NCHINI, YAWATAKA KUSHIRIKI KAMPENI YA CHANJO YA KUDHIBITI NA KUTOKOMEZA MAGONJWA YA MIFUGO. UTEUZI IKULU;JOYCE MAPUNJO AKUMBUKWA,MOI YAPATA BOSI MPYA TANZANIA KUWEKA MIKAKATI MADHUBUTI ILI KUHAKIKISHA WANAPATIKANA WATANZANIA WENGI WATAKAOSHINDANIA NAFASI ZA KIMATAIFA Editor February 28, 2024 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article NCHI WANACHAMA EAPP ZAKUBALIANA KUIPA MSUKUMO MIRADI YA UMEME Next Article MNH YAUNDA TAYA JIPYA KWA MGONJWA KWA NJIA YA UPASUAJI WA KIPANDE CHA UBAVU NA KIUNGIO CHA FUVU Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News TANZANIA, SAUDI ARABIA KUIMARISHA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI Kimataifa BRELA KUFANYA MABORESHO KWENYE MFUMO WA USAJILI BIASHARA MTANDAONI Kitaifa WATHAMINI WAPATIWA MAFUNZO UANDAAJI VITALU VYA THAMANI YA ARDHI Kitaifa Mfumo Mpya wa Kidijitali wa Malalamiko kwa watumiaji wa huduma za kifedha hautawaacha nyuma wenye vitochi-BoT Uchumi