“Ninamshukuru Rais kumteua Mwenyekiti wetu wa Bodi na ninamshukuru Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati kwa imani kubwa kwangu kuniteua kuwa Mjumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini. Ninaahidi kushirikiana na Wajumbe wenzangu pamoja na Menejimenti nzima ya REA kuhakikisha kwamba tunasukuma gurudumu la maendeleo. Kazi kubwa imekwishafanyika hadi sasa, nadhani kazi yetu itakuwa rahisi maana tunaanzia sehemu ambayo ni nzuri zaidi.”
WAJUMBE WA BODI MPYA REA WAENDELEA KUAHIDI UTENDAJI ULIOTUKUKA

“Ninamshukuru Rais kumteua Mwenyekiti wetu wa Bodi na ninamshukuru Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati kwa imani kubwa kwangu kuniteua kuwa Mjumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini. Ninaahidi kushirikiana na Wajumbe wenzangu pamoja na Menejimenti nzima ya REA kuhakikisha kwamba tunasukuma gurudumu la maendeleo. Kazi kubwa imekwishafanyika hadi sasa, nadhani kazi yetu itakuwa rahisi maana tunaanzia sehemu ambayo ni nzuri zaidi.”
Leave a comment