Mchanganyiko Matukio uzinduzi wa Taasisi ya Binti Lindi Initiative Editor May 14, 2023 Updated 2023/05/14 at 9:32 PM Share SHARE Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwanaharakati wa Masuala ya Watu wenye Ulemavu Sophia Mbeyele wakati wa hafla ya uzinduzi wa Taasisi ya Binti Lindi Initiative iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam Mei 14, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea tuzo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilitolewa na Taasisi ya Binti Lindi Initiative wakati wa hafla ya uzinduzi wa taasisi hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam Mei 14, 2023. Kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Kija Yunus (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Taasisi ya Binti Lindi Initiative kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam Mei 14, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea tuzo kwa niaba ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan ilitolewa na Taasisi ya Binti Lindi Initiative wakati wa hafla ya uzinduzi wa taasisi hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam Mei 14, 2023. Kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Kija Yunus (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) You Might Also Like BINTI WA MIAKA 14 ABAKWA NA MFUNGWA WAKATI AKITOKA SHAMBANI PINDA AKABIDHI MAJIKO 200 YA GESI JIMBONI KWAKE TANZANIA,POLAND KUSHIRIKIANA MAENEO SABA FTI NI CHUO BORA DUNIANI-WAZIRI KAIRUKI Ushawishi wa Tanzania duniani utategemea na Ubora wa Sera ya Mambo ya Nje inayorekebishwa Editor May 14, 2023 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article Wafanyabiashara Kariakoo watangaza mgomo kuanzia Mei 15, 2023 Next Article NADO yazindua mradi kukabiliana na mabadiliko tabianchi Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI Kitaifa DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA Kitaifa BoT:AKIBA FEDHA ZA KIGENI IMEONGEZEKA Uchumi WAKALA WA VIPIMO WAZINDUA JARIDA LAO LA MTANDAONI Kitaifa