Kitaifa Rais Dk Samia Suluhu Hassan awaapisha Mawaziri Ikulu Jijini Dar es Salaam Editor April 2, 2023 Updated 2023/04/02 at 4:27 PM Share SHARE Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama, pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) George Simbachawene wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Aprili 2, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Aprili 2 , 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimuapisha George Simbachawene kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) leo Aprili 2, 2023. Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uapisho wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama, pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) George Simbachawene, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Aprili 2, 2023. You Might Also Like SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA WAKALA WA VIPIMO WAZINDUA JARIDA LAO LA MTANDAONI UJENZI OFISI KUU WAKALA WA VIPIMO KUKAMILIKA JANUARI 2025 TAMKO LA LHRC KUKAMATWA KWA ALIYEKUWA MEYA WA UBUNGO BONIFACE JACOB Editor April 2, 2023 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article ‘Mbunge wa Wananchi’ atembelea watoto wenye uhitaji Mbagala Next Article Waziri Mkuu awataka Viongozi wa Dini kuhimiza maadili mema, kukemea unyanyasaji wa kijinsia Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI Kitaifa DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA Kitaifa BoT:AKIBA FEDHA ZA KIGENI IMEONGEZEKA Uchumi WAKALA WA VIPIMO WAZINDUA JARIDA LAO LA MTANDAONI Kitaifa