Kitaifa Rais Dk Samia Suluhu Hassan awaapisha Mawaziri Ikulu Jijini Dar es Salaam Editor April 2, 2023 Updated 2023/04/02 at 4:27 PM Share SHARE Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama, pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) George Simbachawene wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Aprili 2, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Aprili 2 , 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimuapisha George Simbachawene kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) leo Aprili 2, 2023. Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uapisho wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama, pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) George Simbachawene, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Aprili 2, 2023. You Might Also Like MAJALIWA: SERIKALI IMESAJILI MIRADI YA DOLA BILIONI 8.65 NDANI YA MWAKA MMOJA WAZIRI MASAUNI: JESHI LA POLISI FANYENI KAZI KWA WELEDI UKICHEZEA MIZANI FAINI SH.LAKI MOJA HADI MILIONI 50 WMA YAHIMIZA USHIRIKIANO KUTOKA SEKTA BINAFSI WAZIRI MKUU ATAKA SUALA LA MAZINGIRA LIWE AJENDA YA KITAIFA Editor April 2, 2023 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article ‘Mbunge wa Wananchi’ atembelea watoto wenye uhitaji Mbagala Next Article Waziri Mkuu awataka Viongozi wa Dini kuhimiza maadili mema, kukemea unyanyasaji wa kijinsia Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News Watoto 300 wafanyiwa upasuaji wa moyo Kambi matibabu ya JKCI na Saudi Arabia Afya MAJALIWA: SERIKALI IMESAJILI MIRADI YA DOLA BILIONI 8.65 NDANI YA MWAKA MMOJA Kitaifa WAZIRI JAFO APIGILIA MSUMARI MATUMIZI SAHIHI YA VIPIMO KWENYE MANUNUZI Elimu WADAU WA MANUNUZI WANOLEWA MATUMIZI SAHIHI HUDUMA ZA HALI YA HEWA Hali ya Hewa