KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Daniel Chongolo akiteta jambo na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye (kushoto) wakati wa Kikao Kazi cha 18 cha Maofisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali, 2023 kinachofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam.