Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba (kulia) akiteta jambo na Mkurugenzi wa Shirika la Royal Africa Society, Dk.Nicholas Westcott (kushoto) wakati wa Mkutano na jumuiya ya wafanyabiashara wa Uingereza jijini London. Mkutano huo ulilenga kuwashawishi wafanyabiashara hao kuwekeza nchini Tanzania, Mkutano huo umehudhuriwa pia na Katibu Mkuu-Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Dk.Juma Akil na Balozi wa Tanzania-Uingereza, Dk.. Asha-Rose Migiro.Waziri wa Fedha na Mipango,Dk. Mwigulu Nchemba (Kulia), Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, Dk. Juma Akil na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dk.Asha-Rose Migiro, wakifuatilia matukio ya Mkutano kati ya Ujumbe wa Tanzania na baadhi ya Wawekezaji na wafanyabiashara Jijini London, Uingereza.