Uchumi Rais Samia akutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu na Rais wa Barrick Gold Corporation , Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Editor March 23, 2023 Updated 2023/03/24 at 4:46 PM Share SHARE NA MWANDISHI MAALUM, IKULU DODOMA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Briston, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Machi 20, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Briston pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Machi 20, 2023. icha namba 4-5. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Marekani 30,000,000.00 kutoka kwa Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Briston kwa ajili ya shughuli mbalimbali za Elimu, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Machi 20, 2023. Fedha hizo zitatumika katika ujenzi wa Mabweni 273 pamoja na Madarasa zaidi ya 1094 kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika maeneo mbalimbali nchini Tanzani. You Might Also Like BoT:AKIBA FEDHA ZA KIGENI IMEONGEZEKA RIBA BENKI KUU KUSALIA KWENYE ASILIMIA SITA KIPINDI CHA ROBO MWAKA YA MWISHO AHADI YA RAIS SAMIA YA UJENZI WA KIWANDA CHA CHUMVI YAANZA KUTEKELEZWA BITEKO:WANAWAKE TUMIENI MIFUKO YA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI LUKUVI ATEMBELEA BANDA LA BENKI KUU MAONESHO YA SABA YA MIFUMO NA PROGRAMU ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMIN Editor March 23, 2023 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article Waziri Dk Tax, Balozi Mbarouk wakutana na Mabalozi wa Marekani , Urusi Next Article Amka na Magazeti Leo Alhamisi, Machi 23, 2023 Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA Kitaifa BoT:AKIBA FEDHA ZA KIGENI IMEONGEZEKA Uchumi WAKALA WA VIPIMO WAZINDUA JARIDA LAO LA MTANDAONI Kitaifa RIBA BENKI KUU KUSALIA KWENYE ASILIMIA SITA KIPINDI CHA ROBO MWAKA YA MWISHO Uchumi