KitaifaMchanganyikoUchumi Waziri Dk Nchemba akutana na timu ya kufanya athmini ya Tanzania kukopesheka kwenye Masoko ya Kimataifa Editor March 15, 2023 Updated 2023/03/15 at 6:46 PM Share SHARE Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Mwigulu Nchemba (kulia), akisalimiana na Kiongozi wa jopo la wataalam waliowasili nchini kufanya tathmini ya uwezo wa Tanzania kukopesheka kwenye masoko ya Kimataifa (credit rating) ya Moody’s, John Walsh, Jijini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba , akizungumza na wataalam wa kufanya tathimini ya uwezo wa nchi kukopesheka kwenye masoko ya Kimataifa (credit rating) ya Moody’s, John Walsh (kulia) na Aurelien Mali, Jijini Dodoma. Moody’s wameanza kazi ya kuifanyia Tanzania Credit Rating. Waziri wa Fedha na Mipango Dk.Mwigulu Nchemba (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na timu ya wataalam kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Kufanya Tathmini ya Uwezo wa Tanzania kukopesheka kwenye masoko ya Kimataifa (credit rating) John Walsh (wa tatu kushoto) akifuatiwa na Aurelien Mali na Kamishna Idara ya Usimamizi wa Deni la Taifa, Wizara ya Fedha na Mipango Japhet Justin. Kulia ni Naibu Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Dk Yamungu Kayandabila, Naibu Gavana wa Benki kuu ya Tanzania, Sauda Msemo na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru, baada ya kukutana Jijini Dodoma kwa ajili ya kuanza kazi ya tathmini hiyo. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba akisalimiana na Mtaalam wa kufanya tathmini ya uwezo wa nchi kukopesheka kwenye masoko ya Kimataifa (credit rating) ya Moody’s Aurelien Mali, Jijini Dodoma. Katikati ni Kiongozi wa Timu hiyo John Walsh. Moody’s wapo nchini kuifanyia Tanzania Credit Rating. You Might Also Like MIKOPO INAYOTOLEWA KIDIJITALI NA ZEEA KUWAINUA WANANCHI KIUCHUMI BRELA YAPOKEA MWALIKO KWA WAFANYABIASHARA KUSHIRIKI TUZO ZA SHIRIKA MILIKI BUNIFU DUNIANI 2025 BoT YANUNUA TANI 2.6 ZA DHAHABU INAYOCHIMBWA NCHINI – WAZIRI MAVUNDE RAIS SAMIA APONGEZWA UWEZESHAJI UJENZI JENGO LA OFISI YA MAKAO MAKUU WMA LIVE : MKUTANO MKUU MAALUMU WA CHAMA CHA MAPINDUZI TAIFA LEO JANUARI 19,2025I Editor March 15, 2023 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article Habari kubwa magazetini leo Jumatano, Machi 15, 2023 Next Article Tanzania, Japan wakubaliana kuendeleza ushirikiano miradi ya nishati Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News MIKOPO INAYOTOLEWA KIDIJITALI NA ZEEA KUWAINUA WANANCHI KIUCHUMI Uchumi WB,AFDB KUWAJIBIKA KUSAKA FEDHA ZITAKAZOWEZESHA WATU MILIONI 300 KUFIKIWA NA UMEME BARANI AFRIKA MWAKA 2030 Kimataifa BRELA YAPOKEA MWALIKO KWA WAFANYABIASHARA KUSHIRIKI TUZO ZA SHIRIKA MILIKI BUNIFU DUNIANI 2025 Kitaifa BoT YANUNUA TANI 2.6 ZA DHAHABU INAYOCHIMBWA NCHINI – WAZIRI MAVUNDE Kitaifa