NA MWANDISHI WETU, DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Nishati, January Makamba wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kuja na Kushoka Tools Manufactures Group, Leonard Kushoka (kushoto) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 30, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Waziri wa Nishati, January Makamba vocha itakayomwezesha kuchukuwa mitungi ya gesi ili kuigawa kwa wananchi ikiwa ni uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi ya kupikia, baada ya kutembelea maonesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 30, 2023
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kutembelea maonesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 30, 2023. Kulia ni Waziri wa Nishati, January Makamba.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakati alipotembelea maonesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 30, 2023. Kulia ni Waziri wa Nishati, January Makamba