Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika 21 Mei, 2023 Ikulu Chamwino Mkoani DodomaMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM mara baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika 21 Mei, 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.