NA MWANDISHI WETU,DAR ES SALAAM
WAJUMBE wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) wametembelea Banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA)katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam leo Julai 8, 2026
Ssmbamba na kutembelea Banda la REA Wajumbe hao walipata wasaa wa kufurahia chakula kilichopikwa na majiko ya nishati safi ya kupikia.



