NA MWANDISHI WETU, MTUMBA,DODOMA
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Mtumba kwa tiketi ya CCM Anthony Mavunde ameendelea na awamu ya kwanza ya kampeni yake ya mtaa kwa mtaa kwa kila kata kuzungumza na makundi mbali katika maeneo husika.
Mavunde ameendelea na ziara yake kata ya Ihumwa na kutembelea na kuzungumza na wananchi wa Mitaa ya πΎπππ£πβπ€π’ππ,πΎπππ‘π¬ππ£π
,ππ‘π€π‘π€ na πππͺπ’π¬π
Mavunde pia alitumia fursa hiyo kuwaombea kura Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dk. Samia S. Hassan na Mgombea Udiwani wa kata ya Ihumwa Edward Magawa