Jamii Wapata elimu ya kujikinga na magonjwa ya moyo Editor April 27, 2024 Updated 2024/04/27 at 4:26 PM Share SHARE DAKTARI bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dickson Minja akimpima shinikizo la damu Kamishna wa kazi msaidizi ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Andrew Mwalwisi wakati wa tiba mkoba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inayofanyika katika Maonesho ya kimataifa ya usalama mahala pa kazi katika viwanja vya General tyre vilivyopo jijini Arusha. MKURUGENZI wa Idara ya magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tatizo Waane akiwafundisha namna moyo unavyofanya kazi wananchi waliotembelea banda la taasisi hiyo wakati wa tiba mkoba ya Dk. Samia Suluhu Hassan katika maonesho ya kimataifa ya usalama mahala pa kazi kwenye viwanja vya General tyre vilivyopo jijini Arusha. MKURUGENZI wa Idara ya magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tatizo Waane akimpa ushauri mara baada ya kupima moyo mwananchi aliyejitokeza wakati wa tiba mkoba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inayofanyika katika Maonesho ya kimataifa ya usalama mahala pa kazi katika viwanja vya General Tyre vilivyopo jijini Arusha. You Might Also Like Askofu Shoo awataka vijana kujitambua na kushiriki katika chaguzi BITEKO AIPONGEZA DODOMA JIJI KUVUKA LENGO UANDIKISHAJI WAPIGA KURA WANANCHI KATA YA KIHURIO WAISHUKURU SERIKALI KWA MRADI MKUBWA WA MAJI MAJALIWA AHANI MSIBA WA BABA MZAZI WA GAVANA TUTUBA MBINU MPYA YA KUWADHIBITI TEMBO YAONESHA MWELEKEO WA MAFANIKIO SAME Editor April 27, 2024 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article MATUKIO MBALIMBALI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR LEO APRILI 26,2024 Next Article WANANCHI WATAKIWA KUTUNZA BARABARA NA ALAMA ZAKE Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News MENEJIMENTI YA MOI YAWAPA ZAWADI NA SHUKURANI WATUMISHI WAKE Afya BoT KUCHUKUA HATUA ZAIDI KUHAMASISHA MATUMIZI YA KADI ZA BENKI KWENYE MASHINE ZA POS,YASISITIZA KUWA HAKUNA ADA YEYOTE INAYOTOZWA Uchumi GRIDI ZA TANZANIA,KENYA KUIMARISHA UPATIKANAJI WA UMEME NCHINI Kitaifa OFISI YA MSAJILI WA HAZINA YAOMBOLEZA KIFO CHA ALIYEKUWA MKURUGENZI WAKE WA UTAWALA NA RASILIMALI WATU NA BINTI YAKE WA KWANZA WALIOPOTEZA MAISHA AJALINI,YATOA POLE KWA MAJERUHI Kitaifa