NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
BENKI Kuu ya Tanzania inaendelea (BoT)kuchukua hatua mbalimbali kuhamasisha matumizi
yanayofanywa kwa kutumia kadi za benki (debit, credit, au prepaid) kwenye mashine au gharama za ziada kwa miamala inayofanywa kwa mashine za POS.
urahisi wa matumizi.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Emmanuel Tutuba leo Desemba 23,2024
Iwapo mlipaji utatakiwa kulipa ada au gharama za ziada unapotumia mashine yoyote ya Matumizi ya mifumo ya kidijitali, ikiwemo kadi za malipo, huchangia kujenga uchumi
kwa kuwa ni njia salama, rahisi na yenye gharama nafuu ya kukamilisha miamala.
yanayofanywa kwa kutumia mashine za malipo za wafanyabiashara (Point of Sale –
POS) ni bure kabisa kwa watumiaji wa kadi.POS, tafadhali toa taarifa kwa benki yako au wasiliana na Dawati la Malalamiko la
wenye matumizi kidogo ya pesa taslimu, na pia huleta faida kama usalama, uwazi na
Hivyo, Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuwakumbusha wananchi kwamba malipo
yoyote ya POS hayatozwi ada yoyote. Wafanyabiashara wote wamekatazwa kutoza ada
Benki Kuu inawahimiza Watanzania kuendelea kutumia mifumo ya malipo ya kidijitali,
ya malipo ya kidijitali nchini. Mojawapo ya hatua hizo ni kuhakikisha kuwa malipo
Wateja wa Benki Kuu ya Tanzania kupitia: