NA MWANDISHI WETU,DAR ES SALAAM
MKURUGENZI Mtendaji wa NIC Insurance Kaimu Mkeyenge ametembelea banda la Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) maarufu kama Kijiji cha Bima kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba)
AidhaMkeyenge ametembelea mabanda ya taasisi na kampuni mbalimbali kwa lengo la kufahamu huduma na bidhaa wanazotoa, pia amepata nafasi ya kutoa elimu kuhusu umuhimu wa kuwa na bima kwa kuhusianisha na kauli mbiu ya Maonesho ‘Tanzania mahali sahihi pa biashara na uwekezaji’













