*WAMSHUKURU RAIS KWA KUWAKOPESHA IMANI
NA VERONICA SIMBA,REA
“Tunashukuru kwa kuaminiwa na Serikali ya Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Ametukopesha imani, mimi pamoja na wenzangu tutamlipa kwa usimamizi mzuri wa Taasisi. Tukiongozwa na Mwenyekiti wetu tutaisimamia REA itekeleze majukumu yake kama ambavyo imekusudiwa katika Sheria ya REA ya Mwaka 2005.”
“Naahidi nitatumikia nafasi hii kwa juhudi na weledi katika kulinda maslahi mapana ya Taifa letu.”