Kitaifa MKUU WA KITENGO CHA MAWASILIANO WIZARA YA FEDHA AKAGUA MIUNDOMBINU YA HABARI MTUMBA Editor January 25, 2024 Updated 2024/01/25 at 6:02 PM Share SHARE NA PETER HAULE,WF,DODOMA Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja akizungumza kuhusu miundondombinu ya Mawasiliano na Mhandisi wa Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba, David Shunu, alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo hilo, jijini Dodoma. Mtaalamu wa Ujenzi wa Studio za Habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Karim Chitenda (katikati) akieleza kuhusu mazingira ya Studio za Habari kwa Mhandisi wa Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba, David Shunu wakati Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja (kushoto) alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo hilo, jijini Dodoma. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja akizungumza na Wahandisi wa Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba pamoja na Mtaalamu wa Ujenzi wa Studio za Habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Karim Chitenda, alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo hilo, jijini Dodoma. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja (katikati) akikagua miundombinu ya Mawasiliano katika Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba, kulia ni Mhandisi wa Jengo hilo Bw. David Shunu na kushoto ni Mtaalamu wa Ujenzi wa Studio za Habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Karim Chitenda, alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo hilo, jijini Dodoma. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja, akisikiliza maelezo ya Mtaalamu wa Ujenzi wa Studio za Habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Karim Chitenda (wa pili kulia), wakati Mkuu huyo wa Kitengo alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo hilo, jijini Dodoma. Kulia ni Mhandisi wa Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba, David Shunu. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja (katikati) na Mtaalamu wa Ujenzi wa Studio za Habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Karim Chitenda (kulia) wakisikiliza maelezo ya, Mhandisi wa Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba, David Shunu, wakati Mkuu huyo wa Kitengo cha Mawasiliano alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo jipya la Wizara ya Fedha, Mtumba, jijini Dodoma. You Might Also Like SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA WAKALA WA VIPIMO WAZINDUA JARIDA LAO LA MTANDAONI UJENZI OFISI KUU WAKALA WA VIPIMO KUKAMILIKA JANUARI 2025 TAMKO LA LHRC KUKAMATWA KWA ALIYEKUWA MEYA WA UBUNGO BONIFACE JACOB Editor January 25, 2024 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article BITEKO AWAPASHA WATENDAJI Next Article Dk.Mwigulu:Serikali itaendelea kuboresha sera za kodi ili kuchochea uwekezaji Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI Kitaifa DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA Kitaifa BoT:AKIBA FEDHA ZA KIGENI IMEONGEZEKA Uchumi WAKALA WA VIPIMO WAZINDUA JARIDA LAO LA MTANDAONI Kitaifa