Kitaifa Dk.Nchemba atunukiwa cheti cha kutambua mchango wake wa maendeleo mkoa wa Singida Editor September 10, 2023 Updated 2023/09/10 at 4:25 PM Share SHARE NA MWANDISHI MAALUMU, SINGIDA Waziri wa Fedha, . Dk Mwigulu Nchemba (Mb), (kulia) akipokea cheti cha kutambua mchango wake katika maendeleo ya mkoa wa Singida kutoka kwa Waziri wa Ujenzi . Innocent Bashungwa (Mb), wakati wa hafla ya kumkabidhi mkandarasi, Kampuni ya Henan Highway Engineering Group Ltd, mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami, kutoka eneo la Sabasaba-Sepuka-Ndago hadi Kizaga, yenye urefu wa kilometa 77.6, utakaogharimu shilingi bilioni 88.6, hafla iliyofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misigiri, Wilaya ya Iramba, mkoani Singida, jana. Waziri wa Fedha, . Dk Mwigulu Nchemba (Mb), (kulia) akipokea cheti cha kutambua mchango wake katika maendeleo ya mkoa wa Singida kutoka kwa Waziri wa Ujenzi . Innocent Bashungwa (Mb), wakati wa hafla ya kumkabidhi mkandarasi, Kampuni ya Henan Highway Engineering Group Ltd, mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami, kutoka eneo la Sabasaba-Sepuka-Ndago hadi Kizaga, yenye urefu wa kilometa 77.6, utakaogharimu shilingi bilioni 88.6, hafla iliyofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misigiri, Wilaya ya Iramba, mkoani Singida, jana. Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba (Mb), (kulia) na Wziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Waimbaji wa Muziki wa Injili (Mapacha Watatu) Emmanuel, Zakayo na Marco Palangyo, baada ya hafla ya kumkabidhi mkandarasi, Kampuni ya Henan Highway Engineering Group Ltd, mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami, kutoka eneo la Sabasaba-Sepuka-Ndago hadi Kizaga, yenye urefu wa kilometa 77.6, utakaogharimu shilingi bilioni 88.6, hafla iliyofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misigiri, Wilaya ya Iramba, mkoani Singida, jana. You Might Also Like NAIBU KATIBU MKUU UJENZI ATEMBELEA TBA RAIS SAMIA:VYAMA VYA SIASA HESHIMUNI FALSAFA YA 4R RAIS SAMIA AFUNGUKA SERIKALI KUFANYA JITIHADA KUHAKIKISHA UNAFUU UPATIKANAJI BIDHAA NISHATI SAFI YA KUPIKIA MAJALIWA: SERIKALI IMESAJILI MIRADI YA DOLA BILIONI 8.65 NDANI YA MWAKA MMOJA Editor September 10, 2023 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article REA kusambaza umeme vijiji vyote Bara Next Article Lissu akamatwa na Polisi Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News Viongozi wa AMCOS jela miaka miwili kwa jaribio la kutoa rushwa kwa Bosi wa Takukuru Tunduru Mahakamani BITEKO MGENI RASMI UWEKAJI JIWE LA MSINGI UJENZI BWAWA LA KUZALISHA UMEME MTO MALAGARASI Jamii NAIBU KATIBU MKUU UJENZI ATEMBELEA TBA Kitaifa AHADI YA RAIS SAMIA YA UJENZI WA KIWANDA CHA CHUMVI YAANZA KUTEKELEZWA Uchumi