Kitaifa Kikao cha Bodi ya Wadhamini JKCI chafanyika Dar Editor September 8, 2023 Updated 2023/09/08 at 8:51 PM Share SHARE NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Mhe. Balozi Mwanaidi Sinare akichangia mada wakati wa kikao cha nne cha Bodi hiyo kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam. Katibu wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Dk Peter Kisenge akitoa taarifa ya utendaji wa kazi zilizofanywa na taasisi hiyo kwa kipindi cha miezi mitatu ya Aprili hadi Juni 2023 katika mwaka wa fedha wa 2022/23 wakati wa kikao cha nne cha Bodi hiyo kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akiwaeleza wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi hiyo upatikanaji wa damu kwa wagonjwa wanaofanyiwa upasuaji wa moyo wakati wa kikao cha nne cha Bodi hiyo kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam. Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi akichangia mada wakati wa kikao cha nne cha Bodi hiyo kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam. .Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Prof. Appolinary Kamuhabwa akichangia mada wakati wa kikao cha nne cha Bodi hiyo kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Viongozi wa Menejimenti ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsikiliza Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi hiyo Asha Izina wakati wa kikao cha nne cha bodi hiyo kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam. . Baadhi ya Viongozi wa Menejimenti ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsikiliza Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi hiyo Asha Izina wakati wa kikao cha nne cha bodi hiyo kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam. Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Mhe. Balozi Mwanaidi Sinare akichangia mada wakati wa kikao cha nne cha Bodi hiyo kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam. You Might Also Like SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA WAKALA WA VIPIMO WAZINDUA JARIDA LAO LA MTANDAONI UJENZI OFISI KUU WAKALA WA VIPIMO KUKAMILIKA JANUARI 2025 TAMKO LA LHRC KUKAMATWA KWA ALIYEKUWA MEYA WA UBUNGO BONIFACE JACOB Editor September 8, 2023 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article Tanzania, DR Congo zafutiana Viza Next Article REA kusambaza umeme vijiji vyote Bara Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI Kitaifa DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA Kitaifa BoT:AKIBA FEDHA ZA KIGENI IMEONGEZEKA Uchumi WAKALA WA VIPIMO WAZINDUA JARIDA LAO LA MTANDAONI Kitaifa