MKUU wa Mkoa wa Tanga Waziri Kindamba (katikati) akifanya mazungumzo na Mkuu wa Tiba Jeshini Meja Jenerali Amri Mwami (kushoto) alipotembelewa leo Ofisini kwake Jijini Tanga. Kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Pili Mnyema.
Picha na Jamal Zuberi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga.