Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi, Profesa Serge Tshibangu mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili 17 , 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi, Profesa Serge Tshibangu mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili17, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum wa Rais huyo Profesa Serge Tshibangu mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili 17, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi, Profesa Serge Tshibangu mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili 17, 2023Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi, Profesa Serge Tshibangu mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili 17, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi, Profesa Serge Tshibangu pamoja na ujumbe aliombatana nao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili 17 , 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi, Profesa Serge Tshibangu mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili 17 , 2023.