Kitaifa Waziri Mkuu azindua Mbio za Mwenge Kitaifa,aagiza wakuu wa mikoa kusimamia lishe bora Editor April 1, 2023 Updated 2023/04/01 at 6:42 PM Share SHARE Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Mtwara wakati alipozindua Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 katika uwanja wa CCM Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara, Aprili Mosi, 2023 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasha Mwenge wa Uhuru, wakati alipozindua Mbio za Mwenge huo kitaifa kwa mwaka 2023 katika uwanja wa CCM Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara, Aprili Mosi , 2023. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof. Joyce Ndalichako, Katibu Mkuu Ofisi wa Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof. Jamali Katundu na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas Ahmed Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Kiongozi wa mbio hizo , Abdallah Kaim, wakati alipozindua Mbio za Mwenge huo Kitaifa kwa mwaka 2023, katika uwanja wa CCM Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara, Aprili Mosi, 2023 You Might Also Like SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA WAKALA WA VIPIMO WAZINDUA JARIDA LAO LA MTANDAONI UJENZI OFISI KUU WAKALA WA VIPIMO KUKAMILIKA JANUARI 2025 TAMKO LA LHRC KUKAMATWA KWA ALIYEKUWA MEYA WA UBUNGO BONIFACE JACOB Editor April 1, 2023 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article Zambia Mwenyeji Kongamano la Wawekezaji Aprili 2023 Next Article Panga, Pangua Baraza la Mawaziri Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI Kitaifa DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA Kitaifa BoT:AKIBA FEDHA ZA KIGENI IMEONGEZEKA Uchumi WAKALA WA VIPIMO WAZINDUA JARIDA LAO LA MTANDAONI Kitaifa